Burudani

Mtangazaji wa Choice FM Babbie Kabae ala shavu Marekani, aungana na waandishi 20 kutoka Afrika

Mtangazaji wa kipindi cha asubuhi cha Choice FM, Babbie Kabae yupo nchini Marekani kushiriki kwenye mradi wa “U.S. Commitment to Africa Reporting Tour” unaofanyika kuanzia July 26 hadi August 8.

Screen-Shot-2014-07-26-at-5.46.05-AM
July 24 , U.S. Embassy Public Affairs Officer Ms. Marissa Maurer (left) presents a ticket to Clouds Media Presenter and Brand Manager Ms. Louissa Babbie Kabae

Kabae ameungana na waandishi wa habari wengine 20 kutoka Afrika kwenye ziara hiyo ya kazi katika majiji ya Washington DC na Atlanta kuripoti kongano la African Leaders Summit and Young African Leadership Initiative (YALI) litakaloongozwa na Rais Barack Obama.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents