Burudani

Mtandao wa Kenya wamtaja Ali Kiba kwenye list ya wasanii wanaohisiwa kujiunga na Illuminati

Ali-Kiba

Mtandao Kenya Daily Post umemtaja Ali Kiba kuwa miongoni mwa majina ya mastaa barani Afrika wanaohisiwa kujiunga na jamii ya siri ya Illuminati.

Umesema majina hayo yamekuwa yakizungumzwa zaidi kwenye mitandao ya kijamii. Wasanii wengine iliyowataja ni pamoja na Wizkid, Camp Mulla, P-Square(wanaodaiwa kumtoa kafara mama yao), sold their souls to the devil for fame), Tb Joshua, Cabo Snoop, Asamoah Gyan, Jozi, D’banj (Godfather of illuminati in Africa), Sarkodie, Ice Prince, Genevive Nnaji, Teargas (South Africa), Chameleone,Octopizzo, Nonini, Nameless na Avril.

Kufuatia habari hiyo Nonini aliye kwenye list hiyo ametweet kwa kuandika: Hii Story nayo sasa imeanza kua boring! People talking bout the illuminati hahaahahha F**K Yall know about the..

Kusoma habari hiyo kwenye Kenya Daily Post bofya hapa:

http://www.kenyan-post.com/2013/01/exposed-pstor-nganga-and-other-top.html

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents