Burudani

Msondo ilipomvaa Sikinde

1Staili_moja_ya_msondo

Bendi ya musiki wa dansi Msondo Ngoma, wakisababisha katika usiku wa mashindano ambayo yalifanyika katika Ukumbi wa Daimond Jublie usiku ya mach 18, ikichuana vikali na Bendi ya Sikinde huku mkali wa Sikinde Dede, akiwa ndiyo kwanza anahamia bendi ya Msondo.


Ilikuwa piga nikupige, pakua nikupakue na buludani ilikuwa kubwa na  ya kutosha kila mmoja akionyesha ujuzi wake katika kusakata rhumba, huku Hassan Tx Moshi akionyesha kile kipaji cha kulithi kwa kukamata vizuri sauti ya urithi kutoka kwa baba.I_Hassan_Mosh
Tx Journay akionyesha uwezo wake wa kuimba, 

Mambo_ya_Takeu

Pedeshee_mapesa_Msondo

Romario_Mngana
Romario Mng’ana awa Rapper wa Msondo, akiwa anachana na kupasuka ilikutoa buludani kwa wapenzi wke.

Mwidini_Ngulumo
Muhidini Ngulumo, yeye alibaki kuwa mshabiki kutokana na Afya yake, huyu mama wa hapa pembeni sijui nani wake ? Hebu anayejua atupe ‘data’

Msondo_hauna_mwenyewe
Mziki si lazima ucheze ukiwa umesimama, ilimradi uwe unaupenda yaani mziki hauna kwao

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents