Michezo

Mshikaji wa Samatta, Leon Bailey asajiliwa rasmi ligi kuu ya Ujerumani

Winga wa klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji, Leon Bailey amejiunga rasmi na timu ya Bayer Leverkusen ya Ujerumani kwa mkataba wa miaka mitano.

Bailey raia wa Jamaica alikuwa ni rafiki wa karibu zaidi wa Mbwana Samatta katika klabu ya Genk amesajiliwa kwa ada ya uhamisho wa paundi milioni 11.

Kupitia mtandao wa Twitter wa Leverkusen wamethibitisha kumsajili mchezaji huyo kwa kuandika, “ #Bayer04 Is known for being able to develop well. And the way football is played here is attractive #Bailey ????????.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents