Burudani
Msanii wa zamani wa Drake, iLoveMakonnen, ajitangaza kuwa ni shoga
iLoveMakonnen, msanii wa zamani wa label ya Drake, OVO na aliyewahi kuhit na wimbo, Tuesday, amejitangaza kuwa ni shoga.
Makonnen alitumia Twitter kuelezea ukweli huo, Ijumaa hii:
Rapper huyo alisceenshot tweets hizo na kuweka post Instagram akiandika: Thank you for letting me be myself.”