Burudani

Msami anakuja na show yake ya TV

Muimbaji na mchezaji na mwalimu wa dance, Msami amesema yuko mbioni kuja na kipindi chake cha TV kitakachohusiana na uchezaji wa muziki.

msani

Amesema hayo alipokuwa akiongea na Prince Ramalove wa Kings FM ya Njombe aliyemuuliza kama ana mpango wa kufanya movie ya dance.

Msami anadai kuwa tayari yupo kwenye vikao kuhusu kipindi hicho na ataeleza kitaanza lini baadaye.

Pia alidai kuwa aliwahi kufanya filamu ya aina hiyo na Irene Uwoya ambayo haijafanikiwa kutoka baada ya kutokea matatizo na muongozaji.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents