Habari

Mrisho Mpoto ateuliwa kuwa balozi wa tuzo za Kora Tanzania

Waandaji wa tuzo za Kora wamemteua Mrisho Mpoto kuwa balozi wake nchini Tanzania.

image

Kora imemtumia barua Mpoto kumtaarifu kuhusu uteuzi huo.

“KILA ASUBUHI TUNAOMBA TUPATE NAFASI YA KULETA BABADILIKO KATIKA MAISHA YA WATU, LEO TIMEPATA ASANTE TUZO ZA KORA KWA KUNICHAGUA KUWA BALOZI WA HERI KWENYE NCHI YANGU  YA TANZANIA NAAMINI TUNAWEZA KUPIGANIA AFRICA ISIYO NA EBOLA, NAAMINI AFRICA INAUWEZO WA KUTATUA MASUALA YAKE. #afrikakwetu #afrikakwetu #newday #newresponsibilities,”ameandika Mpoto kwenye Instagram.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents