Burudani

Mpoki ajiunga na kituo cha redio cha EFM

Mchekeshaji maarufu wa Orijino Comedy, Silvester Mjuni alimaarufu kama MPOKI, amejiunga na kituo cha redio cha EFM.

1(3)
Mkurugenzi wa EFM, Francis Ciza akimkaribisha MPOKI kuungana na timu yao

Mpoki anakuwa mmoja wa watangazaji wa kipindi cha UBAONI kinachoongozwa na Gardner G. Habash kwa kushirikiana na Bikira wa Kisukuma (Seth) kinacho kuwa hewani kila siku kuanzia saa 9:00 alasiri hadi saa 1:00 jioni.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents