Burudani

Morgan Freeman (77): Mapenzi yananipa ujana

Muigizaji wa filamu wa Marekani, Morgan Freeman anadai kuwa mapenzi yanamfanya aendelee kuwa kijana.

Morgan Freeman pictures (7)

Staa huyo mwenye miaka 77 ambaye hadi sasa ana talaka mbili anahisi kuwa hamu ya kufanya mapenzi katika uzee huo ni sababu ya kujisikia kijana. Anadai kuwa wasichana wamekuwa wakimwambia bado anavutia.

Alipoulizwa ni vipi ameendelea kujisikia kijana, Morgan alijibu: “P***y.” “Kama unaweza kuipata mara kwa mara, inakufanya uwe kijana.”

Alikuwa akiongea na jarida la ShortList.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents