Bongo Movie

Monalisa, Riyama, Wastara na Claud kwenda Uingereza kufanya filamu iitwayo ‘Ughaibuni’

Waigizaji wanne wa Tanzania ambao ni pamoja na Monalisa, Riyama Ally, Wastara Juma na Claud, Jumatano hii wanatarajia kusafiri kuelekea jijini London, Uingereza kufanya filamu iliyopewa jina la ‘Ughaibuni’.

1897877_716517821704732_1340862813_n

Wasanii hao wanatarajia kwenda kukaa nchini humo kwa wiki mbili ama tatu. Filamu hiyo imeandikwa na kudhaminiwa na kampuni ya Didas Entertainment ya jijini London inayohusika na masuala ya burudani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents