Bongo Movie

Monalisa ajifunza Kamera

 

Muigizaji bora wa kike wa Ziff mwaka 2010, Monalisa sasa ameibuka na fani nyingine tofauti na kuigiza ambayo ni kushika camera na kurekodi movie.

B5 ilimkuta Monalisa akifanya mambo yake,’on location’ na kumuuliza, ‘Wewe ni ndiye cameraman au unatuzuga?’,

Alicheka na kujibu, ‘Mimi ndiye naongoza mzigo hapa’.

Lakini action ilipoanza nilimwona akikaa pembeni na watu kuendelea na kazi.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents