Habari

Mohammed Dewji atajwa kuwania ‘AFRICAN LEADERSHIP AWARD 2016’

By  | 

Mfanyabiashara kijana nchini na Mkurugenzi wa kampuni ya METL, Mohammed Dewji ametajwa na jarida la African Leadership kuwania tuzo ya ‘AFRICAN LEADERSHIP AWARD 2016’.

Dewji ni mtanzania pekee aliyetajwa kuwania tuzo hiyo ambayo anachuana na washiriki wengine akiwemo makamu wa Rais wa Afrika Kusini na Rais wa Ghana, John Mahama.

Hawa ni washiriki wanaowania tuzo hiyo:

Dr. Chris Kirubi- Kenyan businessman& industrialist
Akinwunmi Adesina – AfDB President
Atiku Abubukar- Former Vice President of Nigeria
Mo Dewji- Tanzanian Billionaire
John Mahama- President of Ghana
Cyril Ramaphosa-Deputy President of South Africa
Strive Masiyiwa- Zimbabwean Businessman & Philanthropist
Amina Mohammed – UN Dep Sec Gen

Bonyeza hapa kumpigia kura

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments