Habari

Mlima Kilimanjaro unahitaji Kura Yako

kilimanjaro

Watanzania waombwa kujitolea kwaajili ya kupiga kura ilikuwezesha mlima kilimanjaro uweze kuingia kwenye kinyanyiro cha maajabu saba mapya duniani. Katika kinyanyiro hicho Mlima Kilimanjaro uliingia kutokana na sifa yake kwamba upo kwenye ukanda wa joto, ila kwenye kilele chake chenye barafu, hakijaweza kuyayuka tangu ulipotokea mlima huo, ingawa jua karibu sana.

katika mchakato huo vivutio 28, vimeingia kwenye vinyaro hivyo, ikiwemo Brazil, Israil, Mrekani, na nchi zingine. Kivutio cha mlima wa Kilimanjaro ni mkubwa sana na wenye uwezo wa kushinda kirahisi, kutokana na sifa zake lakini utashindwa kutokana na Watanzania kutokuwa na tabia ya kupenda kupiga kura. Kufanikiwa kwa mlima huo kuingia kwenye maajabu hayo saba mapya duniani, kutaiusaidia nchi yetu kujitangaza zaidi, na kuongeza watalii ambao watalipatia pato taifa, na kusaidia nchi katika kupambana na umaskini, ikiwemo kujenga, mashule, miundombinu ya maji, madawa, kuongeza ajila na zingine.

Pindi utakapopata nafasi ya  kuingia kwenye Website au Blog basi pia tumia muda huo kuingia kwenye   www.new7wonders.com , ukachagua English kisha unaletewa orodha ya vivutio vinavyoshiriki na Tanania-Mlima Kilimanjaro utauona wa 25 na weka tiki yako. Ni rahisi msiogope…

 

Snow-capped Mount Kilimanjaro is one of the most famous and highest freestanding mountains in the world, rising from the north-eastern part of Tanzania. Kilimanjaro stands at 5,895 metres (19,336 feet) high above sea level. Kilimanjaro comprises 3 volcanoes of which the most famous (and the most recent), snow-capped dormant Kibo stands at 5,895 m (19,455 ft). The mountain is situated in the Kilimanjaro National Park in Tanzania. The trek crosses five distinct vegetation zones, namely lower slopes, rainforest, heath and moorland, alpine and desert and the glaciers/summit. Within each zone there is an association between altitude, rainfall, temperature, plants and animals. The name Kilimanjaro, is thought to be a combination of the Swahili word Kilima, meaning “mountain,” and the Kichagga vernacular language word ’Njaro’, translated as “whiteness,” giving the name White Mountain itself.

Bofya hapa kupiga kura!

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents