Burudani

Mkubwa Fella aja na wadogo wapya

Fella_face
Meneja wa kundi la muziki wa kizazi kipya, Mkubwa Fella amesema anatarajia kuachia wanamuziki wapya kutoka katika Priject yake mpya ya mkubwa na Wanawe. Amesema vijana hao ni Dulayeyo na Samurai ambao kila mmoja anawimbo wake ambao hivi karibuni anatarajia kuzitambulisha

 

 

Fela anasema wanamuziki hao anawaamini, na ndiyo maana ameamua kuwaingiza katika kundi hilo ambalo kazi zake wamefanyia chini ya Producer Sureshi

Fella_Dulayo_na_Samarai

Dulayeyowa mbee na Samurai ambao kwa pamoja wapo kwenye Project ya Mkubwa na wanaye, ambaye kwa sasa Dulayeyo anatamba na Kibajaji wakati anasubiri kuitambulisha wimbo wake mpya.

Fella__Dulayo_na_madencer

Mwanamuziki Dulayeyo akiwa na wenzake katika wa kusheki staili ya kiduku, wakiwa miongoni mwa Project ya Fella na Wanawe.

Fella_Dulayo_Face

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents