Burudani

Mke wa Mabeste, Lisa Fickenscher ajifungua mtoto wa pili wa kike

Mke wa rapa Mabeste, Lisa Fickenscher Jumamosi hii amejifungua mtoto wa pili wa kike.

Wawili hao ambao waliingia kwenye maisha ya ndoa miezi michache iliyopita, mtoto wako wa kwanza wakiume anaitwa Kendrick.

Rapper huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Kaa la Roho’ amemshukuru mwenyezi mungu kwa mke wake kujifungua salama.

“Karibu dada ndani ya familia…cc: @lisa_fickenscher @kendrick_mabeste namshukuru Mungu kwa kumkinga mamaa na majanga kama last time!!! ????????,” aliandika Mabeste Instagram.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents