Burudani

Mke wa H.Baba, Flora Mvungi ajifungua mtoto wa kiume, anaitwa ‘Africa’

Mke wa msanii wa muziki na filamu H.Baba, Flora Mvungi amejifungua mtoto wa pili wa kiume ambaye amepewa jina la ‘Africa’.
11118367_1425103607795345_4437571923344007697_n
Mke wa H.Baba, Flora Mvungi akiwa anamnyonyesha mtoto wake Africa

H.Baba ambae ni baba wa mtoto mmoja aitwaye Tanzanite, kupitia ukurasa wa instagram ameandika: “Uyu mimtoto wapili mke wangu anajifungua nashuhudia MWANZO wauchungu mpaka kijifungua kwake #Kiukweli heshima kubwa kwa mama Tanzaniteone ulijitahidi sana nakupa #Hongera Kwakweli wewe nishujaa nanimfano wakuigwa Kwakweli kunamuda Nilikuwa nashindwa kavumilia natamani nitoke nje ila NASEMA hapana mpaka nishuhudie #mwisho wake!!!! ASANTE SANA MWENYEZI MUNGU KWA WATOTO HAWA WAWILI #TANZANITEONE #AFRICA”

11178210_1425179744454398_7610654708817473776_n
Mtoto wa kwanza wa H.Baba, Tanzanite

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents