Burudani

Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred ajiunga na chuo kikuu cha Monash, Afrika Kusini

Hatimaye Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred, amejiunga na chuo kikuu baada ya kukaa kwa muda tangu amalize masomo ya high school.

601a35de709e11e3a4a71214c6305846_8

Kupitia Instagram, Brigitte ameshare picha za fomu za kujiunga na chuo hicho na kudai kuwa aliamua kutojiunga na chuo ili kujiepusha na kushika vitu viwili ambavyo vyote vingeathiriana. Amesema kushiriki kwake kwenye Miss Tanzania ni kitu kizuri kuwahi kutokea katika ujana wake kwakuwa imempa fursa nyingi katika maisha.

ad9d23d084ca11e3b1a712eaeed9ec7a_8
Picha ya fomu za chuo hicho atakachoenda kusoma Miss Tanzania 2012

Mrembo huyo ameandika: Super stocked to start Uni finally!-Had taken a gap year after highschool just because I didn’t want to be another kid going to Uni with no clear direction as to how I wanted my life to be-and then Miss Tanzania happened by some crazy work of God-this has probably got to be the best thing that could have happened to me at this stage of my youth-all the people I met,talked to,worked with I discovered this world is just SO full of opportunities for those who are willing to stand out and GETIT!-No one can tell me shii’ about the ‘negativity’ that comes with being Miss Tanzania,it’s given me a freaking fantabulous pathway to life! GETIT.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents