Burudani

Miss Kiki aeleza sababu ya kuchora tattoo 21 na ugumu wa maisha ya SA

Rapper Miss Kiki, anayefanya vizuri nchini Afrika Kusini, amefunguka sababu ya kuchora tattoo kwenye mwili wake na hali ya maisha ya mjini Durban.

Miss Kiki ameiambia Bongo5, “I love tattoo men, this is like my life, this is like all the things like what I’m going through the things I want to accomplish in life and if I forget like where I am here narudi kwenye tattoo zangu naziangalia halafu nasema am back on the track. So basically it’s my storytelling about myself since day one.”

Akiongea kuhusu hali ya maisha ya mjini Durban, Afrika Kusini:

Changamoto zaidi the life style ninavyoyaangalia maisha ya huku na kule, life style ya kule is more expensive. Yaani ya huku sioni ile expensive mnayosema labda jua tu tuseme kali lakini maisha kule it’s …. Yeah that’s what I can say to you. Nashindwa jinsi ya kukuelezea kivile maisha yako vipi, asikudanganye mtu akasema South hivi na hivi njoo unajua washkaji, each men for himself.

Miss Kiki amewataja marapper wawili ambao wanafanya vizuri kwa sasa katika mji wa Durban ni pamoja na Nasty C na Babes Odumo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents