Burudani

Mimi sio Diva – Habida

Kwa mujibu wa urbandictionary.com neno ‘Diva’ linamaanisha a bitchy woman that must have her way exactly, or no way at all. often rude and belittles people, believes that everyone is beneath her and thinks that she is so much more loved than what she really is. selfish, spoiled, and overly dramatic.

524350_10152743507245722_600743431_n
Habida

Kwa Kiswahili ni mwanamke anayejisikia sana, anayeringa, anayejiona ni mrembo kuliko mwanamke yeyote! Kwa lugha rahisi ni msichana ‘anayejishebedua’.

Wakati ambapo wasichana wengine hupenda kuitwa hivyo, muimbaji mrembo wa Kenya hapendi jinsi watu wanavyomchukulia kama ‘diva’.

“What misconception do people have about you?” ni moja ya swali aliloulizwa na kwenye mahojiano na standardmedia.co.ke.

“That I am a diva. That is until they meet me and get amused to the extent that they tell me, ‘I did not know you are such a nice person.’ It leaves me in awe every time,” alijibu.

Hivi karibuni muimbaji huyo alimaliza kushoot kipindi cha TV kiitwacho ‘New Beginning’ chini ya kampuni ya Insignia Productions ambayo anaigiza kama muuguzi wa hospitali aitwaye, Natasha.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents