Burudani

Mike Tee aibiwa baada ya kuvamiwa na watu wenye silaha

Msanii wa Hip Hop ma muongozaji wa video, Mike Tee aka Mnyalu leo asubuhi ameibiwa laptop pamoja na vifaa vingine baada ya kuvamiwa na watu wenye silaha wakati akielekea kazini.

10537024_10154449460855198_6035452459142114178_n
Mike Tee

“Leo hii asubuhi majira ya saa 05:30 nikiwa naelekea ofisini , nimevamiwa na watu watano wenye mapanga wakiwa na gari aina RAV4 ya silver no. T280AZQ wamechukua laptop yangu MacPro, External HDD 4, Headphones za Sony na Modem. Ninachoshukuru nimepona ila nnachoomba atakayeiona gari hii popote atutaarifu kwa number +255754310202 / na ntampatia cash 300,000 then ntadeal nao mwenyewe,” aliandika kwenye ukurasa wake wa Facebok.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents