Burudani

Mike T aelezea hatua iliyofikiwa baada ya kuibiwa baadhi ya mali zake

Mike Tee amefanikiwa kupata ‘clue’ itakayomwezesha kujua ukweli kufuatia kuibiwa baadhi ya mali zake.

10537024_10154449460855198_6035452459142114178_n

Kwenye tukio hilo, Mike Tee aliibiwa laptop, simu, pamoja na vitu vingine.

“Nashukuru wote kwa kujilia hali na kunipa pole. Nashukuru polisi nimekwenda jana na baada ya kureport, tumefungua jarada cha kuchekesha baada ya kufuatilia number zilizofungwa kwenye ile rav4 ni za Mitsubishi canter ya bakhresa. Kifupi number fake zimetumika. Ila nnachoshukuru nimepewa mtonyo sinema yangu kwao itakuwa balaa, gari imejulikana,” ameandika kwenye Facebook.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents