Burudani

‘Mhuni Mwenye Akili’ ndio jina la kitabu cha Nando

Aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindalo la Big Brother Africa The Chase, Ammy Nando anatarajia kutoa kitabu chenye kiitwacho ‘Mhuni Mwenye Akili’

Nando

‘Mhuni huyo Mwenye Akili’ alitolewa kwenye shindano hilo baada ya kumtishia kumchoma kisu mshiriki mwenzake kutoka Ghana.

“Nando Wa Big Brother Africa kutoa kitabu chake cha pekee kitakacho toka kwa awamu mbili ” English Version”na ” Swahili Version”…… Cha kiswahili ndicho kitakuwa cha kwanza kuchapishwa…Kitafahamika kwa jina la “MUHUNI MWENYE AKILI’,” ameandika kwenye ukurasa wake wa Facebook.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents