Habari

Video: Mgonjwa wa Ebola apatikana kwa mara ya kwanza Marekani

Kwa mara ya kwanza, mgonjwa aliyelazwa kwenye hospitali ya Marekani amepatikana na virusi vya ugonjwa wa Ebola.

Mwanaume huyo ambaye bado hajatambulika na anayetibiwa kwenye hospitali ya Dallas, hakuonesha dalili zozote hadi siku nne au tano baada ya kuwasili Marekani Liberia.

Habari hiyo imesababisha hofu kubwa nchini Marekani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents