Habari

Mgao wa Umeme: Tanzania yaingia gizani kwa siku 10

Kuanzia Jumamosi hii, mikoa mingi nchini imeingia kwenye mgao wa umeme wa siku 10. Mgao huo wa umeme unatokana na kuzimwa kwa mitambo ya kampuni ya Pan African iliyopo Songosongo.

PRDN_Songo-Songo-013_fs

Mitambo hiyo inazimwa kwa sababu ya matengenezo ambayo Tanesco imesema ni ya lazima kwakuwa kutakuwa na upungufu mkubwa wa umeme kwenye gridi ya taifa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents