Burudani

Methadone yairejesha afya ya video queen ‘Ice Cream’ ya Noorah

Video queen wa video ya ‘Ice Cream’ ya Noorah ‘Doreen’ aliyeathirika na matumizi mabaya ya madawa ya kulevya, anadaiwa kuanza kurejea kwenye afya yake ya kawaida baada ya kupata tiba ya Methadone akiwa chini ya uangalizi wa Ray C Foundation.

10570029_1444799982471213_1366081020_n
Doreen akionekana mwenye afya

Kupitia Instagram, Ray C ameandika:

“Video queen aliyecheza kwenye video ya Noorah Ice cream Amerudi katika Hali yake ya kawaida baada ya kuanza Tiba ya Methadone……Nafurahi sana nikiona matunda ya Ray C Foundation…………..Keep it up girl!!!Nafurahi kukuona ukiwa na afya njema!!!!!!!Say No to Drugs.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents