Burudani

Meek Mill aomba kupunguziwa adhabu ya kifungo chake

Rapper wa muziki wa Hip Hop kutoka nchini Marekani, Meek Mill amemuomba hakimu aliyempa adhabu ya kifungo cha siku 90 ndani ya nyumbani yake kumpunguzia.

Meek-Mill-Debuts-Two-New-Songs-on-Hip-Hop-Chart-FDRMX

Ikiwa ni wiki moja tangu hakimu wa Philadelphia kutoa hukumu ya kifungo cha siku 90 kwa rapper huyo ndani ya nyumba yake. Meek Mill kupitia kwa mwanasheria wake, Joe Tacopina wamepinga kifungo hiko na kuomba kupunguziwa adhabu hiyo.

Meek Mill amehukumiwa kifungo cha ndani baada ya kukutwa na kesi ya kumiliki silaha bila ya kuwa na kibali maalum.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents