Burudani

Mchumba wa Bobbi Kristiana hatiani tena, adaiwa alimchanganyia pombe hatari

Nick Gordon, anakabiliwa na mashtaka mapya kwamba alimchanganyia mpenzi wake Bobbi Kristina Brown vilevi vyenye madhara, kwa mujibu wa nyaraka mpya za mahakamani zilizopatikana Ijumaa hii.

1444427686_bobbi-kristina-nick-gordon-article

Mashtaka hayo yanadai “Ms. Brown died due to a violent altercation with Defendant (Gordon) after which he placed her in a bathtub, unconscious, after he injected her with a toxic mixture.”

Yanadai kuwa Gordon alimpa Bobby Brown, binti pekee wa hayati Whitney Houston, mchanganyiko wa pombe uliomfanya apoteze fahamu.

Kristina alifariki July 26 akiwa na miaka 22 baada ya kuwa kwenye ‘coma’ kwa miezi sita. Alikutwa hajitambui kwenye ‘bathtub’ lililojaa maji Jan. 31 nyumbani kwake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents