Michezo

Mchezaji wa Paris St-Germain (PSG) amehukumiwa kifungo cha miezi 2 jela Ufaransa

Mchezaji raia wa Ivory Coast Serge Aurier, ambaye anaichezea klabu ya Paris St-Germain (PSG), amehukumiwa kifungo cha miezi miwili jela kwa kumgonga afisa wa polisi.

_91379278_035529352

screen-shot-2016-02-14-at-14-39-29

Aurier pia alipigwa na faini ya dola 674 kutokana na kosa hili lilotokea kwenye klabu ya burudani mwezi Mei mjini Paris.

Hata hivyo atabaki kuwa huru akisubiri rufaa, ambayo ikiamliwa ataweza kuichezea PSG katika ligi ya mabingwa siku ya Jumatano.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents