Mcheza Mieleka mkongwe Jimmy Snuka afariki dunia
Mcheza mieleka wa zamani wa WWE na muigizaji, Jimmy Snuka amefariki dunia Jumapili hii akiwa na umri wa mika 73.
Snuka ambaye alikuwa maarufu kwa jina la ‘Superfly’ amedaiwa kufariki kutokana na tatizo la kansa ya tumbo. Mastaa mbalimbali wa mieleka duniani wametuma salamu za rambi rambi kupitia mtandao wa Twitter wakiongozwa na Dwayne Johnson aka The Rock.
The Rock: Our family @TaminaSnuka asked me to share the sad news that her dad Jimmy Snuka has just passed away. Alofa atu i le aiga atoa. #RIPSuperfly
Stephanie McMahon: #RIPSuperfly one of the greatest icons in the history of our business. Sending our love and prayers to the entire family.
Hulk Hogan: RIP Superfly. Only love HH
JakeSnakeDDT: GOD BLESS JIMMY SNUKA. HE WILL FLY ALL THE WAY TO HEAVEN. WHAT A SWEET MAN. LOVE YOU BROTHER!!!!