Burudani

Mchekeshaji wa Afrika Kusini awa mtangazaji wa kipindi cha TV kinachoangaliwa zaidi Marekani ‘Daily Show’

Trevor Noah, mchekeshaji wa Afrika Kusini asiyejulikana kabisa nchini Marekani, amepewa shavu la kuwa mtangazaji wa miongoni mwa vipindi vya TV vinavyoangaliwa zaidi Marekani, Daily Show kinachorushwa kupitia kituo cha Comedy Central kilichokuwa kikishikiliwa na Jon Stewart.

Trevor-Noah

Kituo hicho kinachomilikiwa na kampuni ya Viacom kimedai kuwa kitamtangaza rasmi Noah hivi karibuni.

b8fc45a62c7294509ce96954476db5d8
Mtangazaji wa zamani wa kipindi hicho, Jon Stewart anamkabidhi mikoba Noah

Noah atakuwa mtangazaji wa tatu kuwahi kutangaza kipindi hicho baada ya Craig Kilborn na Stewart.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents