Burudani
Mcharuka kuifanyia Nairobi
MWANAMUZIKI Jafari Msham ‘Jaffarai’ anatarajia kuteremka Nairobi Kenya katika video yake mpya ya Mcharuko alioshirikiana na Wile.Alisema kitu hicho ambacho atafanya chini ya studi ya Ogopa Dj, lengo lake ni kujitanua kimuziki.
Zaidi ya video pia alisema ataruhusu kupata faet kwa msanii atakaye mwitaji kufanya naye kazi.