Mbongo ndani ya “The Apprentice”

Mbongo ndani ya
Mtanzania Mona Lewis amechaguliwa katika mashindano ya kila mwaka ya
The Apprentice ambayo huonyeshwa kwenye kipindi cha BBC kawaida kila
Jumatano saa tatu usiku (9pm).


Mona itambidi amuhakikishie Sir Alan Sugar, bosi wa kipindi hicho na tajiri mkubwa UK (Millionnaire) kuwa anakipaji cha kuchaguliwa kuwa The Apprentice na kupata nafasi ya kufanya kazi katika mashirika ya Sir Alan Sugar na kulipwa takriban £100,000 (paundi laki moja) kwa mwaka.

Mona (28) alizaliwa Karachi, Pakistan, na sasa anaishi Kent, England kama Senior Business Manager.

Watu kumi na sita walichaguliwa kushindana kuwa The Apprentice UK 2009, watu kumi na tano wamebaki akiwemo Mona Lewis (Mtanzania) na mmoja kung’atuka mwenyewe kabla ya kasheshe la mitihani ya ujuzi kuanza.

Zenjydar Community Association

www.zenjydar.co.uk

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents