Promotion

Mazabe Powder watamba kuingia nusu fainali ya Dance 100% chini ya Vodacom Tanzania

001.TEGETA
Kikundi cha Mazabe Powder cha kwandevu Tegeta jijini Dar es Salaam,kinachoshiriki shindano la Dance 100% wakielekee mazoezini kujindaa na robo fainali itakayofanyika Agosti 23 mwezi huu. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania

002
Washiriki wa shindano la dance 100% wa kundi la Mazabe Powder la kwandevu Tegeta jijini Dar es Salaam,wakiwa mazoezini kujiandaa kwa mchuano wa robo fainali itakayofanyika Agosti 23 mwezi huu

005.TEGETA
Baadhi ya washiriki wa shindano la Dance 100% wa kundi la Mazabe Powder la Tegeta kwandevu jijini Dar es Salaam, wakiwa katika picha ya pamoja na Meneja Uhusiani wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu (watatu kutoka kushoto) na Mratibu wa shindano hilo kutoka EATV Happy Shame walipowatembelea kambini kuwapa moyo
vijana hao na kujionea jinsi wanavyofanya mazoezi yao kujiandaa na robo fainali ya mashindano hayo yatakayofanyika Agosti 23 mwezi huu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents