Michezo

Mayweather: Hakuna anayemjua Amir Khan, namtaka Pacquiao

Ushindi wa bondia wa Uingereza, Amir Khan Jumamosi iliyopita dhidi ya Devon Alexander ulimfungulia uwezekano wa kupata pambano alilolisubiri kwa muda mrefu na Floyd Mayweather, lakini Mayweather anasema hana mpango wa kuzichapa na Khan kwa sasa, na kwamba anayemtaka ni Manny Pacquiao tu.

Floyd "Money" Mayweather Jr. works out during a Labor Day themed open media workout at his boxing gym in Las Vegas as he prepares for his September 19 fight against Juan Manuel "Dinamita" Marquez at MGM Grand and televised live on HBO Pay-Per-View. Las V

“Usiku uliopita nadhani alipata watu 4,000, hivyo Amir Khan, jina lake halina uzito wowote,” alisema Mayweather.

amir1_gq_10jan12_642
Amir Khan

“Hakuna anayemjua Amir Khan isipokuwa wale wanaojihusisha na ndondi. Focus yangu ni Manny Pacquiao. Let’s make it happen.”

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents