Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Mitindo

Mavazi ya mbunifu wa Tanzania, Pedaiah Swank John, PSJ Couture yatinga mtaani

By  | 

Sheria Ngowi, Ally Remtullah, Mustafa Hassanali, Martin Kadinda na wabunifu wa mavazi wengine wa kiume nchini Tanzania wameongeza member mpya kwenye club yao. Ni Pedaiah Swank John.

Pedaiah (kulia) akiwa amevaa suti za PSJ

Pedaiah (kulia) akiwa amevaa suti za PSJ

Mbunifu huyo wa mavazi, model na mtaalam wa software engineering, ameanzisha clothing line yale iitwayo PSJ Couture na yatari nguo zake zimeingia mtaani.

253348_543368702373014_1952501890_n

420686_447763755307713_1895403830_n

480348_435806563143328_769792758_n
“You can rock it anywhere in your office, in a party, even on your wedding,” anaelezea Pedaiah kwenye moja nguo za fashion line yake.

942290_447763878641034_3946819_n

946793_447760831974672_604237737_n

“We focus on providing fitted tailored suits mixed with Western African prints. We use high quality fabrics from West Africa. The full African vintage suit includes a jacket, pants & a bow-tie. The pieces are also available separately,” yanasomeka maelezo kwenye ukurasa wa Facebook wa PSJ Couture.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW