Burudani

Maua Sama: Mwenyezi Mungu aniepushe na scandal

Hitmaker wa ‘So Crazy’ MAUA SAMA amesema hategemei scandal katika maisha yake binafsi na kimuziki kwa lengo la kupata umaarufu wa haraka usiokuwa na maslahi.

Maua Sama

”Aaaa!! upande wangu mimi Maua Sama nachukia sana Scandal, naamini kwamba na provide nyimbo nzuri ambazo zinawavutia na zitaendelea kuwavutia ma-fans wangu si kwa kutegemea scandal kupata mafanikio katika music industry’,” alisema Maua ambaye Jumanne iliyopita wakati akisherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Maua Sama amesema kila siku humuomba Mwenyezi Mungu amuepushe na suala la scandal ili kukamilisha malengo yake kama kioo cha jamii.

”Yaani sipendi kabisa kuwa magazetini kila siku, niko very against napenda niwe kwenye magazeti in a good way lakini not kwenye scandal sababu I like doing things different I mean sijui kama niko different na wasanii wenzangu kutokana na mazingira niliyozaliwa scandal ni kama aibu kwangu na my family’.”

Maua Sama amesema anashukuru mpaka hapo alipofikia kwa sababu promo tu ya muziki imemfanya apate mashabiki wengi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents