BurudaniVideos

Maua Sama aeleza kile muziki umempa hadi sasa

Maisha kwa Maua Sama yanakwenda vyema, asante kwa mkwanja anaopata kupitia muziki anaofanya.

Muimbaji huyo wa ‘Main Chick’ ameeleza kuwa kwa sasa ameshanunua kiwanja kwaajili ya kudodondosha mjengo wake. “Muziki bado naudai sana lakini mwisho wa siku unalipa sababu naendesha maisha yangu sasa hivi, I have my own place, I have bought plots, I have my businesses,” Maua alikiambia kipindi cha The Playlist cha Times FM.

“Anytime soon naweza nikaanza,” alijibu kuelezea lini mjengo wake unaanza kujengwa.

Pia amedai kuwa ameaigiza gari lake, Toyota IST New Model.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents