Habari

Maskini kuzuiwa kumiliki gari Dubai ili kupunguza msongamano barabarani

Katika kujaribu kupunguza msongamano wa magari mjini Dubai, watu wenye kipato cha chini na maskini hawataruhisiwa kumiliki magari.

dubai-rolls-roycw-690x517

Wazo hilo la ubaguzi limebuniwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Dubai, Hussain Lootah. Lootah amesema uamuzi huo utawaruhusu watu muhimu na wenye kipato cha juu kutumia barabara za mjini.

Source: Autoblog.com

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents