Promotion
Mashindano ya Pool Table Afrika kufikia tamati leo Dar
Mashindano ya mchezo wa Pool Table kwa timu za Afrika leo yanafikia tamati katika fainali itakayofanyika katika ukumbi wa Budget Hall Kunduchi jijini Dar-es-Salaam.
Mashindano hayo ambayo Tanzania imekuwa mwenyeji yameshirikisha nchi za Kenya Uganda, Afrika Kusini, Lesotho, Malawi, Zambia na Cameroon.