Michezo

Mashabiki wa Arsenal wamtaka Wenger aondoke

Licha ya ushindi wa magoli manne kwa bila dhidi ya Hull City kwenye mashindano ya kombe la FA, mashabiki wa Arsenal wamtaka Wenger aondoke.

_88648072_giroud_goal_reuters2

Mashabiki wa Arsenal wameonekana kutofurahishwa na mwenendo wa timu yao baada kufungwa mechi mfululizo ikiwemo ile ya Barcelona, Manchester United, Swansea kabla ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Spurs wikiendi iliyoisha.

2819972

Kitu cha ajabu kwenye mechi hiyo mashabiki wa Arsenal walibeba mabango yaliyoandika, “Arsene, Tunashukuru kwa kumbukumbu zote sasa ni muda wako kusema kwaheri”

Bango lenye maneno kama hayo lilionekana Novemba, 2014 kwenye mechi ya Arsenal walipokuwa ugenini dhidi ya West Bromwich Albion.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents