Burudani

Mariah Carey na Nick Cannon watengana, talaka inafuata

Imebainika kuwa Mariah Carey na Nick Cannon wametangana tangu May mwaka huu na wamekuwa wakiishi mbalimbali.

GTY_mariah_carey_nick_cannon_jt_140405_1_16x9_992

Mtandao wa TMZ umedai kuwa mawakili wa masuala ya talaka wamekuwa wakijadiliana nao kuhusiana na kugawana mali na nani ataishi na watoto wao na kwamba talaka imekamilika. Vyanzo vilivyo karibu na wanandoa hao vimedai kuwa Mariah na Nick wamekuwa wakiishi kwenye nyumba tofauti jijini New York tangu May.

Vyanzo vimeiambia TMZ kuwa kutokea kwa Nick kwenye kipindi cha redio cha Big Boy mwezi March ulikuwa ni mwanzo wa mwisho wao. Kwenye kipindi hicho, Nick aliwataja mastaa wengie aliowahi kuwa na uhusiano nao na aliwataka watano lakini vyanzo vimesema jina lililomkasirisha zaidi Mariah ni Kim Kardashian.

Inasemekana kuwa Mariah alimcharukia Nick kwa wiki nyingi kutokana na kuhisi amedhalilishwa na uhusiano wao haujakaa vizuri tangu hapo. Vyanzo hivyo vimedai kuwa Mariah anahisi Nick amemtelekeza kwa kuchukua matamasha yote yanayomuijia wakati sio kwamba wanahitaji fedha na anachukia zaidi kwa anakuwa mbali na wanae.

Kwa upande wa Nick, anadai kuamini kuwa Mariah amekuwa na kiburi na hamsikilizi

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents