Michezo

Marcos Maidana: ‘Nitamtwanga Floyd Mayweather’, watazichapa Jumamosi, May 3

Bondia wa Argentina, Marcos Maidana amesema anajiamini kuwa Floyd Mayweather.

article-2612472-1D5303F000000578-571_634x459
Marcos Maidana

Bondia hiyo amesema ushindi wake dhidi ya Mayweather kwenye pambano litakalofanyika Jumamosi ya May 3 jijini Las Vegas, Marekani utakuwa gumzo kwenye historia ya masumbwi.

article-2612472-1D4C6F2F00000578-653_634x428
Floyd ‘Money’ Mayweather akijifua

‘Mimi ni bingwa na niko tayari kupigania mkanda wangu,’ alisema Maidana. ‘La msingi zaidi, najianda kumtwanga Mayweather. Kitu ninachohofia zaidi ni mkanda wangu. Nataka kujinoa tu ili Mayweather.’

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents