Burudani

Mapacha (Maunjanja Saplayaz) kuvunja ukimya na ‘Kipande Flani’

Kundi la mapacha pekee wanaofanya hip hop Bongo, Mapacha aka Maujanja Saplayaz linatarajia kuvunja ukimya wake hivi karibuni.

661cc0b9-cfc5-46ec-a73f-238d784f6da1

Mapacha waataachia wimbo wao mpya uitwao ‘Kipande Flani’ waliomshirikisha Becka Title. Ngoma hiyo imetayarishwa na Father Beats wa Kaburu Recs. Wawili hao wamekuwa kimya kwa takriban mwaka mmoja. Wimbo wa mwisho kuachia ulikuwa ‘Time For The Money’ uliotayarishwa na Tuddy Thomas.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents