Michezo

Manji mahakamani leo kwa tuhuma za kutumia dawa za kulevya

Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji, leo anapandishwa mahakamani akituhumiwa kutumia dawa za kulevya.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Dar es Salaam, Simon Sirro amedai kuwa vipimo vya mkemia mkuu vimeonesha kuwa mfanyabiashara huyo ni mtumiaji wa dawa hizo. Awali Manji alikuwa amelazwa kwenye hospitali ya Muhimbili baada ya kupata matatizo ya moyo.

Sikiliza hapo juu mahojiano kati yake na mtangazaji wa kipindi cha E-Sports, Maulid Kitenge.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents