Michezo

Manji awarudisha wanachama wake Hashim, Mkemi na Nyenzi

Uongozi wa klabu ya Yanga SC, umewasamehe na kuwarejesha kundini wanachama wake watatu, Ayoub Nyenzi, Hashim Abdallah na Salum Mkemi ambao walisimamishwa katika Mkutano wa Agosti 6, mwaka jana.

Hii ndio taarifa ya katibu Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa kwa vyombo vya habari

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents