Burudani

Manecky: Muziki unaotengezwa Tanzania umeshiba

Producer wa AM Records, Manecky amesema kuna maendeleo makubwa kwenye muziki wa Tanzania katika upande wa production.

Maneke's speech thanking everyone who made this possible and remembering the late Roy Bukuku

Manecky ambaye aliwahi kushinda tuzo ya mtayarishaji bora wa muziki 2013 katika tuzo za KTMA. ameiambia Bongo5 kuwa watayarishaji wa Bongo wamejifunza vingi kutoka kwa wenzao wa nje hali iliyosabisha muziki wa Tanzania uendeleee kupasua mawimbi kimataifa.

“Kwa mwaka huu muziki wetu umezidi kuwa mkubwa kwa sababu kila muda unavyozidi kwenda ma-producer kuna vitu tunaviongeza kwenye muziki wetu,” amesema. “Mengi tunajifunza kutokana na watu wa nje inafanya tuweze kubadilisha vya kwetu na kuboresha zaidi. Kwa upande wa production, production zimezidi kuwa nzuri pia muziki wetu pia umebadilika,” aliongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents