Michezo

Man City na Man United uso kwa uso April 27 kwenye EPL

Mechi kati ya Manchester City na Manchester United imethibitishwa kuwa itapigwa siku ya Alhamisi, April 27,2017 katika uwanja wa Etihad.

Mechi hiyo ambayo ilibidi ichezwe Februari,26 lakini ikaahirishwa kutokana na Manchester United siku hiyo walikuwa wakicheza fainali ya EFL Cup dhidi ya Southampton.

Hivyo kikosi hicho cha Jose Mourinho kitacheza mara 3 katika siku ya Alhamisi katika mwezi April.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents