Habari

Mamamia Moven Pick

Mustafa_Hassanali

Mbunifu wa mavazi ya akina mama, Mustapha Hassanal, juzi aliamua kulitambulisha rasmi tamasha la mavazi  la Mamamia katika ukumbi wa Moven Pick ili kuchangia  wakina mama wajawazito katika uzazi salama kwa kutimiza miaka 100 Duniani. Alisema Hari ya kujifungua imekuwa mtihani mkubwa, kwa akina mama wengi kwani hufikia kipindi mpaka kuweka nadhiri na kuomba miungu yote ilimradi wajifungue salama. Alisema si jambo baya kwa kuomba namba hiyo, lakini kutokana na hari hatari wanayokumbana


ndiyo inawafanye wawe waoga katika kujifungua, wakati jambo hilo ni rahisi endapo wakipatiwa msaada wa vifaa vya kisasa.  Pia liaongezea kwa kusema aliamua kusaidia kutokana aliwahi kuwa katika kitengo hicho cha kuwasaidia wajawazito wakati anafanya kazi za hospitali, hivyo anajua maumivu na tabu wanazozipata.

modo_akiwa_na_vazi_la_koti

Mc_akiongea_kwenye_modo

Watu walioudhulia wakipata buludani toka katika kikundi kimoja cha ngoma za asili kutoka Zanzibar.

Mc_na_mteja

Modo

Modo_1

Modo_akiwa_na_mavazi_nguo

modo_mwingine

Modo_pekee

Modo_wa_pili

Modo_watatu

Stara_Thomas

Stara Thomas akiimba na mama mjamzito, katika tamasha la mavazi lilopewa jina la Mamamia Fasion, na Hassanali

{hwdvideoshare}id=1472|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1473|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1474|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents