BurudaniEventsMapenzi

Video na Picha za Makamuzi usiku wa Vyuo

4Redsun

Ikafika zamu na mkari Redsan, kutupia vitu vyake kati, na ndiye aliyekuwa akisubiriwa kwa muda mrefu akiwa kama mgeni rasmi.

1_beka_amini_na

Beka mkari toka THT, akiimba pamoja na Amini na Barnaba wote toka nyumba ya Vipaji, katika uvumbuzi wa siku ya wanavyuo ‘versity night @ New Maisha Club siku ya ijumaa.

2_Belle_9

Belle9 naye alikuwepo kukamua, hakika ilikuwa bonge la shangwe.

3_joe_makini_na_Niki_wa_pili

Shangwe likaongezeka pale alipopata, Mwamba wa Kaskazini, Joh Makini na Niki wa pili, na kuangusha vitu vikari vya hip hop.

5

Hapa Redsan akijichanganya na watoto wa kibongo, cheki walivyojibwaga….

6_dj

Kwenye mtambo alikuwa Dj Mosimo, ambaye alikuwa akisababisha kwa ngoma za uhakika.

100_0999

Ikafika zamu ya kushow love na mashabiki, hapa Banana Zorro naye akishow love na Bongo5.

100_1000

Wanafunzi nao waka show Love.

{hwdvideoshare}id=1400|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1401|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1402|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1403|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1404|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1405|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1406|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1407|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1408|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1409|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1410|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1411|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents