Habari

Majina ya wasanii watakaowania Channel O Africa Music Video Awards 2013 kutangazwa kesho

Channel O inatarajia kutangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo za mwaka huu za Channel O Africa Music Video Awards kesho.

chomva12_ay_win2
AY akipokea tuzo, CHOMVA 2012

Mwaka jana, AY na Cpwaa walitajwa kuwania tuzo hizo ambapo AY alishinda kipengele cha video bora ya wimbo wa Afrika Mashariki.

chomva12_ay_win3
AY na Mwana FA

Kuna msanii yeyote wa Tanzania atatajwa kuwania mwaka huu? Hilo ndio swali?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents